Yaani hata sijui nianze aje. Niko na stress kiasi na niko na hali ya upweke ndani yangu jo. Sasa jana jamaa beste yangu alinishow ati anipeleke place fulani tukunywe mbili tatu then tuendelee mbele place ingine ati stress nitatoa. Sasa si hata angeniambia vizuri what to expect lakini sasa place yenyewe sikutarajia ikuwe vile ilikuwa.
Kwanza tupitie ka bar hapa kando tujiweke gauge ya courage, ndivyo alinishow. Mi nikafuata nyuki niki-expect kula asali. Lakini usibebe simu wala wallet, beba tu pesa kidogo nikupeleke ukule raha. Na mimi kwa kumuamini nikafuatana nayeye tukaingia baesa tukapewa tot tukajiweka ati ndio gauge ya faster. Kidogo akaitisha ma bia tukajimwagilia then akasema niko sawa tuendelee anipeleke place ya njuang'a ati coz anajua mimi nilikuwa kadinya na ni kama alikuwa worried nimepoteza talent.
Hapo zile ma pombe tumekunywa zikaanza ku dictate actions na kaa fala nikajikuta naenda tu nayeye mpaka kibaesa kingine design ya ile hapo Moi Avenue inaitwa SJ. Kando ya Munyiris Fish and Chips. Kila boy anajua hiyo place, mtu asijifanye hajui, si jina ingine ni Karumaindo. Na karuma indo si ni something akin to kuuma vitu ama kutafuna vitu so unajua sio pombe tu inapeleka wadhii huko. Anyway, hii place nilienda haina jina lakini iko na mabouncer wakubwa kaa ninii. After kuingia kuna ma pool table kiasi alafu kumejaa mapoko wanazunguka ovyo ovyo. Yaani SJ haifikii hii place, huku kulikuwa kufyam.
Lakini sasa juu ya kuwa passenger wa hii train inasemwaga ati BT maze mi nikachanganyikiwa. Kulikuwa na wafupi, warefu, wakondu, wanono na yaani all sizes (manyake). By now jamaa wangu ananichekelea vibaya tu sana. Anachukua keroro another alafu anatulia na poko mmoja anamfuata. Wanabonga kiasi na naona akitumia lip ya chini kuni point. Si ile madem wanapenda kutumia badala tu ya kunyosha kidole. Si nikahepa coz hata sikuwa na mahanjam. Sasa ile side nilienda nikakuta wengine wametulia kwa bench. Mmoja mpoa na mwingine sura ya mbuzi. Nikatime ati yule mpoa akinicheki nimuite, sasa vile alicheki waliniona pamoja na kuita akakuja yule kibonge. Karibu nihepe lakini nikasema haidhuru.
Rao moja ni ngapi? Nikamuuliza, akasema bei yake nikamshow anipunguzie za fare na juu pia nilikuwa na ndomco zangu kwa mbosho. Hapo roho inataka kutokea kwa chest vile imedunda. Huyo poko aka lead the way hadi huko upstairs na mimi nyuma kaa fala. Tukajipoxi ndani ya keja moja ilikuwa empty na by the time naingia alikuwa ashatoa makladi na akaleta mikono ati malipo kwanza (ripa kabra ya kura) na hata bado sijanyonji hapo. Juu sikutaka story mob nikamgei alafu nikaanza kucheki checki keja lakini she was taking none of that. "Wee fanya faster niko job." Yaani hii time yote njuang'a imekataa kusimama na vile aliishika ndio nyundo ikaruka kidogo lakini sio kawaida.
Tuseme from ile time niliingia hiyo keja na ile time nilitoka dakika tano hazikuisha. Aliniharakisha akisema itabidi niongeze doo kama simalizi faster and the cow refused, kutoa maziwa. Akanirusha kando na kudunga kladi zake na chapa zangu ashaweka mbosho akaniambia nicheki door. Yaani sikuamini, bado siamini.
Lakini nikiwa natoka hiyo place, looking for my friend coz nilikuwa nimejam nayeye sana, some thoughts zilinikujia kwa akili nikaona ni kama ni kiboko nilikuwa nikichapwa na Sir Godi akaniweka situation ile ndio niweze kujua vile madem hufeel wakifutwa. Kwanza bado BT yenyewe ni kama sikushuka, in fact sikushuka na ni poa niendelee kuidandia kuliko kulipia senye.
c
Lakini hata hivyo, the jamaa later akaleta siasa ati nimeisha meno na sasa nataka kumuonyesha meno bado iko na mifupa nitavunja. Sasa my male ego was bruised twice in one day. Najua ni vibaya lakini jamaa amenichokoza and I have no choice but to prove to him that I still got my game. And who better to prove it with than the girl he is chasing? Hapo nimeamua ku invest time na kila kitu. Nyama atakula, mutura na thambutha ya firi firi na shuma razima ilale ndani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Great post. Can’t wait to read the next ones :)
Grazie per la roba buona
[url=http://www.23planet.com]Online casinos[/url], also known as accepted casinos or Internet casinos, are online versions of prominent ("slice and mortar") casinos. Online casinos ok gamblers to pretentiousness and wager on casino games unqualifiedly the Internet.
Online casinos superficially sling up as a replacement in requital for available odds and payback percentages that are comparable to land-based casinos. Some online casinos entitle higher payback percentages as a medicament into m‚storey whatnot games, and some bruit about payout volume audits on their websites. Assuming that the online casino is using an aptly programmed indefinitely substance generator, afford games like blackjack purloin an established bounds edge. The payout participation expedition of these games are established during the rules of the game.
Function online casinos lease revealed or gain their software from companies like Microgaming, Realtime Gaming, Playtech, Worldwide Precipitate Technology and CryptoLogic Inc.
top [url=http://www.xgambling.org/]online casinos[/url] brake the latest [url=http://www.casinolasvegass.com/]las vegas casino[/url] manumitted no store hand-out at the chief [url=http://www.baywatchcasino.com/]baywatch casino
[/url].
Post a Comment